HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI

NAFASI HII NI YAKO KWA AJIRI YA MATANGAZO

Friday, April 3, 2015

EFM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MWAKA KWA KISHINDO

Jikekizz la nguvu la kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Radio 93.7 EFM. Mstahiki Meya wa Kinondoni, Yussuf Mwenda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila walipo kutana katika ofisi za EFM asubuhi ya leo. Mkuu wa Kitengo cha...

Thursday, February 12, 2015

KAMA ULIKUA UJUI KUHUSU UZURI WA ZARI WA DIAMOND SOMA HAPA.

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her. Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed...

Wednesday, February 11, 2015

Q Chief : "Mwambie TID aache kuvuta unga watu wote tushaacha sasa hivi..Tell him to do music not to talk about me"

 Kama ni mfatiliaji wa kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds Tv, utakuwa umekutana na interview ya T.I.D  a.k.a Myama a.k.a Mzee Warioba akijibu swali la mtangazaji wa kipindi hicho "Casto Dickson" lililohusu sababu kubwa ya kuvunjika kwa Top Band,ambapo kwa TID alisema...

Saturday, February 7, 2015

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC) KWA VIKUNDI VYA VIJANA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la...

Wednesday, February 4, 2015

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri akijibu maswali ya wabunge bungeni Dodoma. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akijibu swali la mbunge Bungeni Dodoma. Naibu Waziri...