Jikekizz la nguvu la kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Radio 93.7 EFM.
Mstahiki
Meya wa Kinondoni, Yussuf Mwenda akibadilishana mawazo na Mbunge wa
Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila walipo kutana katika ofisi za EFM
asubuhi ya leo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Mtangazaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi,
Dennis Ssebo akiwa na Mkurugrnzi Mkuu wa Radio 93.7 EFM, Francis Ciza.
Mmoja
wa wageni waliotembelea ofisi hiyo, Sukhwinder Bajwa ambaye ni Mkuu wa
Masoko kutoka Kampuni ya Zantel, akizungumza wakati wa kuipongeza EFM
siku ya leo.
Samira Kiango ambae ni Mhariri Msaidizi pamoja akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa EFM, Francis Ciza.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila alipokua akiongea moja kwa moja kutoka katika kituo cha 93.7 EFM siku ya leo.
0 comments:
Post a Comment