matukio ya kustajabisha bado yanaendelea kutokea ambapo watu wamekuwa wakijidharirisha na kujisahau wanapocheza muziki hasa wanapokuwa wamelewa kama huyu mdada akiamini kuwa kuna wakubwa tupu ukumbini kumbe paparazi amnyetia na kuchukua picha hiziii....
Mwanadada akikata mauno kucheza sebene la bendi ya Malaika usiku wa jana katika ukumbi wa Ngamia, eneo la Maweni, Kigamboni, Dar es Salaam. Dada huyu aliwakera na kuwadhalilisha wanawake wenzake jana kwa ufedhuli huu.
Hata kama kuwarusha roho wanaume, hii imepitiliza
Haikuwa bahati mbaya, alikuwa anafanya makusudi, sasa sijui tuseme ndiyo biashara matangazo, au kunogewa na sebene la Malaika
Ni huyu kulia mwenye gauni jeusi, tena mdada mzuri tu, lakini heshima...
Wadada wa Kigamboni hao...chezea!
Mashabiki wengine walicheza kistaarabu pia
0 comments:
Post a Comment