Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza wakati wa
ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za
kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar
es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza
mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana
na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu
wa wilaya ya Temeke akizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya
ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya
kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi
vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa
vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira
nchini kwa vijana.
Baadhi
ya vijana wakiwapo wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali
na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa
wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana.
Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo
ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa
vijana.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikata utepe kuashiria
kukabidhi mashine wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na
makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya
zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la
Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili
kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikata utepe kuashiria
kukabidhi mashine wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na
makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya
zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la
Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili
kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akikabidhi mashine kwa
viongozi wa vkundi vya vijana wa Dar es Salaam wakati wa ufungwaji wa
mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia
matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam
kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine
zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na
tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikagua shughuli ya
ufyatuaji tofali wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na
makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya
zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la
Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili
kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikagua shughuli ya
ufyatuaji tofali wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na
makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya
zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la
Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili
kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana
Baadhi
ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwashiriki wakati wa
ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za
kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar
es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza
mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika
kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikagua shughuli ya
ufyatuaji tofali wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na
makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya
zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la
Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili
kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikagua shughuli ya
ufyatuaji tofali wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na
makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya
zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la
Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili
kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana
Vijana
wakiendelea na ufyatuaji tofali wakati wa hafla hiyo. Shirika la Nyumba
la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia
serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Vijana
wakijenga jengo la mfano wakati wa hafla hiyo. Shirika la Nyumba la
Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali
katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.
Vijana wakijenga jengo la mfano kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dae es
Salaam namna matofali hayo yanavyojenga nyumba wakati wa hafla hiyo.
Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo
ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa
vijana.
Vijana wakijenga jengo la mfano kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dae es
Salaam namna matofali hayo yanavyojenga nyumba wakati wa hafla hiyo.
Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo
ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa
vijana.
Vijana wakijenga jengo la mfano kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dae es
Salaam namna matofali hayo yanavyojenga nyumba wakati wa hafla hiyo.
Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo
ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa
vijana.
Viongozi
wa vijana hao wakizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji
tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana
kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana.
Baadhi ya vijana wakiwapo wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji
tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana
kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana.
Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo
ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa
vijana.
Mashine za kufyatulia tofali za kufungamana zikiwa zimewekwa kwaajili ya kukabidhiwa kwa vijana wa mkoa wa Dar es Salaam.
Meya wa Temeke Maadadi Hoja na voongozi wenzake wakifuatilia shughuli hiyo ya makabidhiano
Baadhi ya vijana wakiwapo wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji
tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana
kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana.
Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo
ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa
vijana.
Baadhi ya vijana wakiwapo wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji
tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana
kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana.
Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo
ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa
vijana.
Bendi ya Mlimani Park ikiendelea kutoa burudani katika shughuli hiyo
0 comments:
Post a Comment