Thursday, March 27, 2014

Lulu Michael akubali kupiga picha za nusu uchi kwa ajili ya kuupamba ukurasa wa mbele wa Gazeti

Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine, Lulu  Michael  naye  amekubali  kuchukuliwa  akiwa  nusu  uchi  kwa  ajili  ya  kuupamba  ukurasa  wa  mbele  wa  gazeti  hilo  ambapo  ndani  ya  gazeti  hilo, Msanii  huyu  amefunguka  mambo  mengi  kuhusiana  na  maisha  yake  binafsi.....
 
Moja  ya  toleo  la  gazeti  hilo  likimuonyesha Wema  Sepetu  akiwa  amejiziba  majani  ya  miti  kuficha  kifua  chake  ambacho  kilikuwa  wazi

0 comments:

Post a Comment