watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi wa wananchi
SIKU
chache baada ya kuibua danguro la vigogo maeneo ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam na wahusika kutiwa mbaroni na polisi, mwishoni mwa wiki
waandishi wetu wamekifumua kijiji cha ufuska.
Kijiji
hicho kilichogunduliwa Mbagala Zakhem, jijini Dar, wasichana na wavulana
walinaswa wakifanya vitendo vya ngono kwenye moja ya mabanda ambayo
yametengenezwa maalumu kwa shughuli hiyo.
Awali, waandishi wetu walipata taarifa kutoka kwa wasamaria za kuwepo kijiji hicho pembezoni mwa barabara ya kwenda Kiburugwa, hivyo kuamua kufuatilia.
Awali, waandishi wetu walipata taarifa kutoka kwa wasamaria za kuwepo kijiji hicho pembezoni mwa barabara ya kwenda Kiburugwa, hivyo kuamua kufuatilia.
Operesheni
hiyo ilifanywa na waandishi wetu kwa kushirikiana na jeshi la polisi
Jumamosi iliyopita usiku ambapo ilifanikiwa kuwanasa baadhi ya vijana
akiwemo mwanamke mmoja aliyekutwa akifanya ngono na wanaume wawili
(walio pichani).
Hata
hivyo, kundi la watu kama wanane wakiwa na nguo mikononi walitimua mbio
baada ya kuona polisi wamevamia chumba kimoja kilichotengenezwa kwa uzio
wa vipande vya magunia chakavu na makaratasi walichokuwa wakikitumia
kufanyia ngono.
Aidha,
wana usalama walifanikiwa kuwakamata watu watatu, wanaume wawili pamoja
na mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Semeni waliyekuwa
wakifanya naye mapenzi.
Baada ya kuwatia mbaroni watu hao na kuwafanyia upekuzi, walikutwa na kondomo na vipisi vya bangi.
Gesti bubu inayotumika
Maafande
walipomhoji Semeni alisema vijana hao walimlipa shilingi 5,000 kila
mmoja na mmiliki wa eneo hilo aliyemtaja kwa jina moja la Babu walimlipa
shilingi 2,000.
Mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo, aliwapongeza polisi kwa kufanikiwa kuwakamata baadhi ya vijana hao.
na kuingizwa kwenye vibanda hivi kwa ajili ya kufanya ufuska, tunashukuru kwa kuamua kukisambatisha,” alisema jamaa huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Asubui mpa saa 11 ni hoteli
The choice.com
0 comments:
Post a Comment