Kuna baadhi ya mitandao imepost na kuandika habari kuwa mchumba wake msanii wa kizazi kipya anetamba na kibao chake NASEMA NAO na MUZIKI GANI ame
chumbiwa na mwanaume mwingie. Katika kukanusha uvumi huo msanii huyo
amepost picha ifuatayo Instagram na kuandika ujumbe chini yake unao
dhihirsha mapenzi yake kwa mchumba wake huyo.
Tuesday, April 8, 2014
Home »
» NEY WA MITEGO APOROMOSHA MATUSI KUPITIA INSTAGRAM KUHUSU TETESI ZA DEMU WAKE KUCHUMBIWA NA PEDESHEE
0 comments:
Post a Comment