Akizungumza na Ijumaa kwa sharti la
kutotajwa jina lake, chanzo kilisema, wazo la project ile alikuwa nalo
Batuli lakini Rose akaingilia kati, hali iliyosababisha Batuli amnunie
mwenzake.
Alipopigiwa Batuli kwanza aling’aka
lakini akasema hapendi kuzungumzia mambo hayo kwani yameshapita huku
Rose akieleza kuwa, wazo la project hiyo alikuwa nalo kabla hajajifungua
hivyo haoni kama kamtibulia Batuli dili lake.







0 comments:
Post a Comment