Thursday, March 27, 2014

KIAZI NDIO UGONJWA WA WANAUME WENGI WA KIBONGO DAAH!


 
Mambo haya ndio yanayoumiza wanaume wengi hususan vijana wa kibongo huwa mwanaume akiona mdada mwenye shape ya aina hii huwa wanachanganyiwa kabisa na kutaka kumpata hata leo, na wengine huwa wanajisahau sa nyingine unakuta mtu kakaa na mtu wake ghafla mzigo kama huo ukipita basi huwa anashtuka ! hivi tatizo linakuwa nin aisee!!!

0 comments:

Post a Comment