HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI

NAFASI HII NI YAKO KWA AJIRI YA MATANGAZO

NI SHIDAA FULL UMBEA

NAFASI HII NI YAKO KWA AJIRI YA MATANGAZO

NI SHIDAA FULL UMBEA

NAFASI HII NI YAKO KWA AJIRI YA MATANGAZO

NI SHIDAA FULL UMBEA

NAFASI HII NI YAKO KWA AJIRI YA MATANGAZO

NI SHIDAA FULL UMBEA

NAFASI HII NI YAKO KWA AJIRI YA MATANGAZO

Wednesday, February 4, 2015

Mwigizaji Jackline Wolper Ajipachika Tattoo Nyingine Mwilini Mwake, Safari hii Aweka Kwenye......

Udaku Special-Mrembo na Mwigizaji Maarufu wa Bongo Movies Jackline Wolper Amejiongezea Tattoo Nyingine Katika Mwili wake, Tattoo hiyo aliyoandika Maneno haya "Life Goes on" Ameiandika katika
mkono wake wa Kulia kama inavyoonyesha kwenye PichaL:

UFIRAUNI KILA KUKICHA MWANAFUNZI WA CHUO ARUSHA AACHIA PICHA ZA UTUPU AKIONESHA NYETI


WANAFUNZI WA CHUO SIKU HIZI WAMEONA fssheni kuachia picha za utupu kila kukicha bila kujali kwa upande wa jamii inayowazunguka ina wachukuliaje huyu ni mwanacho mwengine jijijni arusha aieamua kujipiga picha za utupu n kuzisamaza mtandaonoi jionee picha kabambe za wabnafunzi waliofanya mdudu yao

AIBUUUU YA MWAKA....HIRIZI YAKUTWA KWA WEMA

IMANI za kishirikina? Mshangao wa aina yake umetokea nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ baada ya kutupiwa hirizi getini kwake, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili.
Wananchi wakishuhudia hirizi getini kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’.
Tukio hilo lililokusanya watu wapenda ‘ubuyu’ lilijiri alfajiri ya Jumamosi iliyopita, nyumbani kwa mlimbwende huyo, Kijitonyama-Bwawani jijini Dar baada ya mapaparazi wetu kutonywa juu ya uwepo wa tukio hilo.
TUJIUNGE NA CHANZO
“Njooni hapa kwa Wema tumekuta mfuko mweusi wa nailoni, ndani yake una hirizi, nazi zimeandikwa maandishi ya Kiarabu huku zikiwa zimevunjwavunjwa na pia kuna picha ya Diamond ndani yake,” kilisema chanzo hicho.
MAPAPARAZI WATIA TIMU
Mapaparazi wetu ambao walikuwa kwenye mizunguko yao kikazi, walitumia usafiri wa pikipiki kwenda nyumbani hapo ambapo ndani ya dakika ‘sifuri’ walikuwa wameshafika na kukuta vitu hivyo vikiwa vimezunguka na mashuhuda.
Wananchi wakizitazama kwa karibu zaidi hirizi hizo.
KILA MTU ASEMA LAKE
Wakati mapaparazi wetu walipokuwa wakidadisi juu nani aliyetupa kifurushi hicho na sababu za kufanya hivyo, mashuhuda hao kila mmoja alieleza lake.
“Sisi hatujui aliyetupa inaonekana atakuwa alikuja usiku sana lakini inaonesha mtupaji atakuwa anataka Wema na Diamond warudiane na ndiyo maana ameambatanisha na picha ya Diamond,” alisikika shuhuda mmoja huku mwingine akidakia:
“Aliyetupa hapa atakuwa ameweka zindiko ili Diamond asirudiane tena na Wema. Atakuwa anataka Diamond aendelee na Zari.”
Katika hali ya kushangaza, mlinzi wa kampuni moja inayolinda nyumbani kwa mlimbwende huyo, aliupiga teke na kuusambaratisha mfuko uliokuwa umehifadhi vitu hivyo pamoja na hirizi.
MAPAPARAZI WAMGONGEA WEMA
Ili kutaka kujua Wema amelichukuliaje tukio hilo, mapaparazi wetu waligonga geti la Wema ambapo alitoka binti mmoja ambaye hakutaka kujitambulisha jina lake na kuzungumza pasipo kufungua geti akiwa anachungulia kupitia uwazi mdogo uliopo getini hapo.
Hizi ndizo hirizi zilizokutwa getini kwa Wema zikiwa na picha ya 'Diamond'.
“He mimi sifungui, Madam (Wema) hayupo kwanza naogopa hivyo vitu si vya kawaida, mimi nakwenda zangu ndani,” alisema binti huyo na kutoweka.
APIGIWA SIMU
Mapaparazi wetu walimvutia waya Madam ambapo kilongalonga chake kiliita bila ya kupokelewa, kesho yake (Jumamosi) mapaparazi walitia timu tena nyumbani hapo na kuambiwa Madam hayupo huku simu yake ikiwa haipatikani.
WAHARIRI MZIGONI
Juzi, Jumatatu wakati gazeti hili lilipokuwa linakwenda mitamboni, wahariri wa gazeti hili walifunga safari hadi nyumbani kwa Wema na kugonga getini kwake ambapo alitoka mtu wa karibu na Wema, Petit Man. Mazungumzo yakawa hivi:
Petit: Yeah karibuni.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Wahariri: Tumekuja kumuona Madam, tumemkuta?
Petit: Mna miadi naye?
Wahariri: Hatuna ila we mwambie wahariri wa Global Publishers wanakuita.
Petit: Ok subirini.
(Baada ya sekunde 30)
WEMA, PETIT WATOKA NA GARI
Wakati wahariri wakiendelea kusubiri, Wema na Petit walitoka getini wakiwa na gari aina ya Murano (lile la alilopewa Diamond) ndipo wakashusha kioo ili waweze kuzungumza nao.
Mhariri: Mambo? Vipi mzima?
Wema: Mzima niambie.
Mhariri: Dakika mbili kidogo basi tuongee.
Wema: Nina haraka lakini.
Mhariri: Hata dakika moja. Ni hivi, kuna picha tumeletewa na mapaparazi wetu zinaonesha juzi hapa nyumbani kwako kuna mfuko ulitupwa hapa ukiwa na hirizi na mazagazaga yanayosadikiwa kuwa ni ya kishirikina.
Mkali wa Bongo Fleva, 'Diamond Platnumz'.
Wema: (Kwa mshtuko) Haaaah! Hapa...kwa...ngu.
Mhariri: Hapa kwako ndiyo tena ndani yake kuna picha ya Diamond.
Wema: Kwa kweli mimi...sijui...hata sielewi kama kuna kitu kama hicho kimetokea nyumbani kwangu.
MABAKI YAONEKANA
Wakati wahariri wakiendelea na mazungumzo na Wema, waliona mabaki ya vipande vya nazi pembeni ya geti hilo na kumuonesha Wema ambaye alizidi kutaharuki.
“Haaah! Kweli jamani vipande vya nazi...sawa lakini mimi imani yangu  haiamini hivi vitu,” alisema Wema.
Baada ya mazungumzo hayo, wahariri walimuaga Wema huku akiwa katika hali ya sintofahamu!

Tuesday, April 22, 2014

FUMANIZI LA PASAKA.MZEE KIJANA ACHEZEA KICHAPO KWA KOSA LA KULAWITI MADENTI LIVE...!

Nuhu maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54), nusu auawe na raia wenye hasira kali, msimu wa Pasaka kisa kikiwa ni kuachiwa kwa dhamana isiyoeleweka baada ya kunaswa kwa kosa la ulawiti wa madenti.

Baba aliyetajwa kwa jina moja la Nuhu maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54) anusurika kifo baada ya fumanizi Aprili 19 (Ijumaa Kuu), mwaka huu maeneo ya Tuangoma Mjimwema, Kigamboni jijini Dar.
 Tukio hilo la kutisha lilijiri Aprili 19 (Ijumaa Kuu), mwaka huu

Tuesday, April 15, 2014

NDOA NDOANO!!..MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU


NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43)  mefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki.
Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa.
Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa saba.

WANAFUNZI WA CHUO WABAMBWA LIVE WAKISAGANA. CHECK HAPA

https://www.facebook.com/theclicktz
Tukio hili lili husisha mabinti wawili walio kuwa wanafunzi wa chuo kimoja kikuu huko jamaica, wakisagana ndani ya gari la boyfriend wammoja wao. Inasemekana wawili hao wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda sasa kwani tetesi zilienea muda mrefu ulio pita ila tu hakuna aliyekuwa na uhakika wa tabia hiyo kwa wanafunzi hao.

Monday, April 14, 2014

CHEZEA KANGA MOKO WEWE


Friday, April 11, 2014

MZUNGU AMEIPATAPATA KWA KUSHOBOKEA MREMBO WA CHUO KIMOJA HAPA NCHINI,AMEJUUUTA KUMFAHAMU



Raia mmoja wa nchini Finland amejikuta katika wakati mgumu sana baada ya kushindwa kufanya lolote kazini alipoajiriwa baada ya kutaka kuwa katika mahusiano na mwanadada huyu wa chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye alimteka akili kiasi cha kumfanya Mzungu huyo kuwa anashinda chuoni kutwa nzima kubembeleza akubaliwe jambo lililomsababishia aache kuhudhuria kazini kwa muda wa miezi mine mfululizo kutokana na kupagawishwa na

Thursday, April 10, 2014